Yanga yaiendea Al Ahly Pemba


Yanga yaiendea Al Ahly Pemba

YANGA, mabingwa wa soka nchini wanaopeperusha bendera ya Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, wamelihama kwa muda Jiji la Dar es Salaam na kwenda kujichimbia kambini Pemba kujiandaa kwa mchezo wa hatua ya 16 Bora ya ligi hiyo dhidi ya Al Ahly ya Misri.

0 Response to "Yanga yaiendea Al Ahly Pemba"

Post a Comment