Adolph Rishard awapa Yanga mbinu

Adolph Rishard awapa Yanga mbinu

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Kagera Sugar, Mohammed Rishard `Adolph’ aliyewahi kuichezea Yanga, ameionya klabu yake hiyo ya zamani akisema inapaswa kuwa makini na staili yao ya kucheza pasi nyingi na fupi.

0 Response to "Adolph Rishard awapa Yanga mbinu"

Post a Comment