Yanga safi, Azam yakwama


Yanga safi, Azam yakwama

YANGA jana iliendelea kujiweka vizuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuifunga Kagera Sugar mabao 3-1 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

0 Response to "Yanga safi, Azam yakwama"

Post a Comment